Mapokeo ya Membe, Maalim Seif kwa picha

Published on :

Maelfu ya wakaazi wa kisiwa cha Unguja wamejitokeza leo kwenye mapokezi ya wagombea wa urais wa Zanzibar na Muungano kupitia chama cha ACT-Wazalendo – Maalim Seif Sharif Hamad na Benard Membe, sambamba na mgombea mwenza, Profesa Omar Fakih Hamad, pamoja viongozi wengine wa chama hicho. Angalia tukio zima kwa picha.

Makubaliano ya Serikali na Barrick Gold Changa la Macho

Published on :

Licha ya makubaliano haya ya hovyo na yasiyo na tija, Serikali yetu imetoa ‘waiver’ (msamaha) kwa Barrick kutoorodhesha hisa kwenye Soko la Hisa la Tanzania. Sheria ya Madini ya mwaka 2010 (Wakati wa Waziri William Ngeleja) na Kanuni zake iliweka sharti kwamba ni lazima makampuni ya madini yauze 30% ya hisa kwa Watanzania kwenye soko la Hisa la Tanzania.

Mafuta yanayoendesha uchumi Tanzania yamechakachuliwa

Published on :

‪Nimemsikia Rais John Magufuli akisema pale Mbeya kuwa uchumi wetu bado unakua kwa 7%. Pia nimeona ‘Jeshi la Watetezi wa Mambo ya Hovyo (JWMH)’, likiongozwa na Bwana Mwigulu Nchemba, likirudia maneno hayo kama kasuku bila kujuwa kuwa Shirika la Fedha Duniani (IMF) ndiyo mamlaka pekee ya dunia ya masuala ya […]