ACT-Wazalendo yakemea rushwa kwenye uchaguzi

Published on :

Chake-Chake, PEMBA: Chama cha ACT-Wazalendo kimeapa kuwachukulia hatua za kinidhamu wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama hicho watakaobainika wakijihusisha na vitendo vya rushwa. Kauli hiyo imetolewa leo (Juni 30) na Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad, wakati akizungumza na wanachama wa mkoa wa Chake […]

Mbowe asema wananchi wanataka kulipiza kisasi, lakini anawazuwia

Published on :

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendelea (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema kuwa wananchi wanaushinikiza uongozi wa chama hicho kuwaruhusu kutumia njia zao wenyewe kujilinda na kulipiza kisasi dhidi ya mauaji na mateso yanayofanywa kwao kutokana na sababu za kisiasa, lakini yeye na viongozi wenzake wanawazuwia kwa kuwa wanaamini kwenye ustaarabu […]

CUF yazitangaza NEC, ZEC maadui wa taifa

Published on :

Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro, amesema kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na ile ya Zanzibar (ZEC) ndio maadui wakubwa kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akitabiri kwamba katika siku zijazo taasisi hizo zenye dhamana ya kusimamia uchaguzi zitaiingiza nchi kwenye maafa makubwa.