Mifupa inapoinuka kaburini

Published on :

Familia ya msichana wa miaka 23, ambaye ndiyo kwanza alikuwa anamaliza masomo yake ya Chuo Kikuu nchini Afrika Kusini akiwa tayari mwanaharakati wa chama cha ukombozi cha ANC, Nokuthula Simelane, kamwe haijaweza kuuona mwili wa binti yao tangu akamatwe, kubakwa na kuuawa mwaka 1983. Huo ni mwaka ambao mimi nilikuwa […]