Hivi ndivyo hila dhidi ya Z’bar zilivyoanza – Ibrahim Hussein

Published on :

Mwandishi na mchambuzi maarufu wa Zanzibar, Ibrahim Hussein, anasema kuwa hila dhidi ya Zanzibar zilianza tangu wakati wa kuja kwa mkoloni wa Kiingereza kwenye eneo la pwani ya Afrika Mashariki na zikaanza kudhihirika wakati wa harakati za kudai uhuru na zimeendelea hadi leo, zaidi ya nusu karne tangu Uhuru, Mapinduzi […]

Uzalendo wa kufungiana? Suluhisho la Kunduchi

Published on :

WIKI iliyopita, Serikali ilitangaza kulifungia gazeti la MAWIO kwa muda wa miaka miwili kwa maelezo ya kukiuka agizo la kutowahusisha marais wastaafu wa Tanzania na sakata la usafirishaji wa makinikia nje ya nchi. Jambo la kwanza ambalo napenda kulisema ni kwamba mimi si muumini wa dhana ya serikali kufungia magazeti […]

Miaka 60 CCM imeshindwa kuonesha ubora wake

Published on :

MTU  mmoja nisiyeelewa yuko upande gani kiitikadi, kama anafuata itikadi za upinzani au za chama tawala, kanipa wazo la kufikirisha kama mojawapo ya changamoto za kisiasa. Kanitumia ujumbe mfupi wa maandishi kwenye simu yangu akisema hivi: “Kwa sasa CCM eti ndipo inakumbuka kero za wananchi!”   Katika kutafakari, nagundua jambo la […]

Nyerere alivyomtetea Karume Accra

Published on :

KATIKA mwezi wa Machi hali ya hewa jijini Accra, Ghana, huwa inaudhi bila ya kiasi kwa joto linavyokuwa kali. Jioni ndipo huzidi kushtadi. Nadra mvua kunyesha. Siku moja Machi 1958, saa za Magharibi, wakombozi wawili wa Kiafrika walikaa, glasi mkononi, wakipunga upepo kwenye baraza ya hoteli ya Avenada, iliyokuwa ikimilikiwa […]