Tanzania hailiwi na rushwa pekee, bali pia na ufisadi wa kisiasa

Published on :

Majuzi Rais John Magufuli alimuapisha Brigedia Jenerali John Mbungo kuwa Naibu Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana  na Rushwa (TAKUKURU) akiweka msisitizo kwamba anataka kuona wala rushwa wanafungwa jela haraka iwezekanavyo. Kwa maneno yake mwenyewe Rais Magufuli, “mambo makubwa ambayo taifa linapambana nayo yanatokana na rushwa…” na kwamba kama […]

Escrow ichunguzwe upya

Published on :

KASHFA ya kuchotwa fedha zilizokuwa zikibishaniwa na washirika wawili wa kibiashara hapa nchini – Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na kampuni ya IPTL – Akaunti ya Tegeta Escrow – imeibuka upya kwa nguvu kubwa safari kuliko wakati mwingine wowote. Tangu mjadala wake ulipofungwa baada ya Bunge kuazimia mapendekezo 13 ambayo […]