Masauni amelewa pombe gani?

Published on :

Kijijini kwetu alikuwepo mzee mmoja ambaye alikuwa maarufu sana.  Miongoni mwa mambo yaliyompa umaarufu ni jinsi alivyokuwa mweledi katika elimu ya dini ya Kiislamu kiasi cha kuwafundisha baadhi ya aalim wakubwa katika kijiji hicho.  Pamoja na taaluma aliyokuwa nayo, alikuwa mpenzi mkubwa wa pombe.  Kwa ufupi alikuwa mlevi, unaweza kusema […]

Viongozi 5 wa Uamsho ‘waachiliwa’

Published on :

Viongozi watano wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar waliokuwa wametoweka kwenye mazingira ya kutatanisha zaidi ya wiki tatu sasa, wameachiliwa na kurejea majumbani kwao katika mazingira pia ya kutatanisha. Mmoja wa viongozi hao, Amir Haji Khamis, akizungumza kwa hali ya huzuni na wasiwasi, ameiambia Zaima Media hivi […]

Viongozi 5 wa Uamsho watoweka kiutatanishi

Published on :

Viongozi watano wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu visiwani Zanzibar hawajuilikani walipo baada ya kutoweka majumbani mwao kwa takribani wiki ya pili sasa. Miongoni mwao ni Amiri wa Jumuiya hiyo, Hajj Khamis Hajj, ambaye alikuwa kinara wa kukusanya michango kwa ajili ya familia za viongozi wenzao ambao tayari […]

Kinachowafanya Uamsho waendelee kusota rumande

Published on :

Serikali zote duniani zinakuwa na nguvu nyingi, ukiacha vyombo vya dola ambavyo siku zote husimama imara vikiwa upande wao, hata ikitokea serekali inaboronga basi wao huendelea tu kusimama nayo. Ni mara chache sana vyombo vya dola kuwa kinyume na serekali, inatokea lakini ni baada ya mure mrefu wa kuwa bega […]

Guantanamo isifananishwe Segerea

Published on :

SI sahihi sana kumuingiza Rais John Magufuli katika chungu kimoja tu cha kuukosoa utendaji wake wote. Yapo ambayo anapatia, na kwa nionavyo, kwa hayo, amekuwa mfano kwa viongozi wengine. Mapambano yake dhidi ya ufisadi, ni mfano, ingawa kiutekelezaji zipo kasoro hizi ni na zile. Kuonesha jinsi gani yapo mazuri, wakati […]