Taswira ya Upotoshaji Kwenye Mahusiano ya Waafrika na Waarabu

Published on :

Waafrika na Waarabu: “Sisi Wazuri, nyinyi Waovu” au “Sisi Wazuri, na nyinyi Wazuri?” Wengi tumeshuhudia katika mitandao tarehe 16 Oktoba, 2019, vinyago vya kustaajabisha sana kwa mtu yoyote ambaye anao uwezo wa kutumia akili yake vizuri. Tumeona ya mtu mmoja kavaa mavazi ya Kiarabu/Kiomani na kumchukua mtu aliyevaa winda na […]