Nyerere hakuwa na insafu juu ya Muungano

Published on :

MARA ya mwanzo kabisa kukutana na Mwalimu Julius Nyerere, uso na macho, ilikuwa 1968 jijini London ndani ya ukumbi mmoja wa hoteli iitwayo Hyde Park Hotel.  Hoteli hiyo iko mkabala wa uwanja wa Hyde Park na iko mwendo wa dakika chache kutoka Hertford Street ulipokuwako siku hizo ubalozi wa Tanzania nchini […]

SMT haiwezi kukubali Akaunti ya Fedha ya Muungano hata siku moja – Juma Duni

Published on :

Wakati wabunge wa upinzani kutoka Zanzibar wakiendelea kushikilia ulazima wa kuheshimiwa kwa matakwa ya kikatiba ya kuundwa haraka kwa Akaunti ya Pamoja ya Fedha baina ya Tanzania Bara (Tanganyika) na Zanzibar, mtaalamu wa uchumi na fedha na waziri wa zamani kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar, Juma Duni […]

Kinachoidhuru zaidi Zanzibar ni Wazanzibari wenyewe – Othman Masoud

Published on :

Mwanasheria mkuu wa zamani wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, amesema kwamba licha ya Wazanzibari kuamini kuwa nchi yao inatawaliwa na Tanganyika na kwamba haitendewi haki kwenye Muungano, ukweli ni kuwa tatizo kubwa zaidi limo miongoni mwa Wazanzibari wenyewe, hasa wale waliokabidhiwa madaraka ambao wanaweka mbele maslahi ya vyeo kuliko ya […]