“Nisamehe, Bwana Rais”

Published on :

MAMBO mengi ya kijinga huzuka serikali inapokuwa haina akili.  Inapojifanya hamnazo ikiwa inajaribu kuuzuga ulimwengu kwa ujinga inaoufanya. Siku hizi tunayashuhudia hayo yakichomoza kwingi duniani. Na huchomoza takriban kila siku. Yanatokea katika nchi zenye mifumo tofauti ya kiutawala, katika nchi za kaskazini na za kusini, za magharibi na za mashariki. Mfano […]

SUDAN: Nyufa ndani ya jeshi; nyufa ndani ya upinzani

Published on :

Ukweli wa mambo ni kwamba al Bashir alipoangushwa Aprili mwaka huu, aliyeangushwa alikuwa ni yeye binafsi lakini si utawala wake. Na huo utawala wake, au mabaki ya utawala wake, ndio unaomkinga hivi sasa. Unamkinga yeye na, wakati huohuo, unajikinga wenyewe. Ndio maana wenye kuuongoza wanafanya ukaidi kuondoka madarakani moja kwa moja.