Maalim Seif asema serikali ya Shein haipo kikatiba na itaondoka 

Published on :

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema serikali ya Zanzibar inayoongozwa sasa na Dk. Ali Mohamed Shein haipo kikatiba na kwamba lazima itaondoka.  Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mara tu baada ya kufungua ofisi za wabunge wa Chama chake, Maalim Seif […]

Je, kifo cha Jumbe chaweza kututanabahisha Wazanzibari?

Published on :

Mzee Aboud Jumbe Mwinyi, aliyewahi kuwa rais wa Zanzibar, makamu rais wa Tanzania, makamu mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na – kubwa kuliko yote – kiongozi aliyefunguwa milango ya demokrasia baada ya Mapinduzi ya 1964 na hatimaye kuja kupigania muundo sahihi wa Muungano – ametangulia mbele ya haki akiwa […]

Dk. Shein, Dadi na Msangi, kwani Mungu si Mbora wa kuhukumu?

Published on :

Ni Qur’an ndiyo inayouliza swali hilo katika sura yake ya 95, aya ya 7. Namna ilivyokuwa na miujiza, katika aya ya 4 ya sura hiyo hiyo, Qur’an inaelezea namna Mwenyezi Mungu anavyojisifu kwa kumuumba mwanaadamu kwa umbile lililo bora kabisa, lakini kisha, hapo hapo, inafuatia aya ya 5 inayoonesha nguvu […]