Siku Nahodha ‘alipotumbua’ jipu

Published on :

Mnamo tarehe 10 Juni 2015, niliandika makala iitwayo “CCM Zanzibar haina uhalali kujinasibisha na mapinduzi” nikionesha jinsi mwakilishi wa zamani wa jimbo la Mwanakwerekwe, Waziri Kiongozi Mstaafu, waziri wa zamani wa mambo ya ndani na pia ya ulinzi, Shamsi Vuai Nahodha, alivyotumia moja ya mikutano yake ya hadhara kwenye jimbo hilo kuwakumbusha […]

Wazanzibari hatulitambui tamko la SMZ

Published on :

Kuelekea uvamizi wa Uingereza na Marekani dhidi ya Iraq mwaka 2003, waandamanaji waliokuwa wakipinga uvamizi huo jijini London walibeba bango linalosomeka: “No, Blair. Not in our name!” Waandamaji hawa walikuwa wakimkana aliyekuwa Waziri Mkuu wao, Tony Blair, aliyekuwa ameshirikiana na Rais George Bush wa Marekani kushinikiza kwamba uvamizi huo ungelikuwa ni […]