Hatimaye jeshi la polisi nchini Tanzania limempandisha kizimbani kiongozi wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Mahmoud Abdul Nondo, mkoani Iringa, baada ya takribani wiki mbili za kumshikilia. Taarifa zinasema kuwa alisafirishwa usiku wa jana (Machi 20) kutoka Dar es Salaam kwenda Iringa, ambako leo amesomewa mashitaka mawili mahakamani – la […]
