ACT-Wazalendo yakemea rushwa kwenye uchaguzi

Published on :

Chake-Chake, PEMBA: Chama cha ACT-Wazalendo kimeapa kuwachukulia hatua za kinidhamu wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama hicho watakaobainika wakijihusisha na vitendo vya rushwa. Kauli hiyo imetolewa leo (Juni 30) na Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad, wakati akizungumza na wanachama wa mkoa wa Chake […]

Maalim Seif auanika usaliti wa Khalifa kwao

Published on :

Katika kile kinachoibua hisia za Maalim Seif Sharif Hamad kwa kusalitiwa na baadhi ya jamaa zake wa Pemba kwenye mgogoro wa chama chake unaoendelea sasa, Katibu Mkuu huyo wa Chama cha Wananchi (CUF) ametoa kauli kali zaidi kuwahi kutolewa naye hadharani dhidi ya kundi la wanasiasa hao waliomgeuka, hasa Khalifa […]

RC Kusini Pemba akasirishwa na matokeo ya Kidato IV

Published on :

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Hemed Suleiman, amesema kufanya vizuri kwa skuli tatu tu kati ya zaidi ya 20 katika mitihani ya Kidato cha Nne 2017 ndani ya mkoa wake ni jambo la aibu na linalopaswa kuchukuliwa hatua kali kulirekebisha ili lisijirejee. Angalia ripoti ya Kauthar Is-haq kutoka kisiwani […]