Viongozi wawili waandamizi wa chama cha ACT Wazalendo, Nassor Mazrui na Ismail Jussa, wamechukuwa fomu hivi leo (19 Julai) kuomba ridhaa ya chama chao kuwania uwakilishi kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020.

Jana, Leo na Kesho
Viongozi wawili waandamizi wa chama cha ACT Wazalendo, Nassor Mazrui na Ismail Jussa, wamechukuwa fomu hivi leo (19 Julai) kuomba ridhaa ya chama chao kuwania uwakilishi kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020.
Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Nassor Ahmed Mazrui, amesema kamwe Wazanzibari hawataweza kumsamehe rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, kwa ushiriki wake kwenye kuuharibu uchaguzi wa Oktoba 2015.
Wakati bado Chama cha Wananchi (CUF) kikiendelea kuamini kuwa mgogoro wa kisiasa uliotokana na uchaguzi wa Oktoba 2015 haujesha, sasa chama hicho kikongwe visiwani Zanzibar kimegeukia kwenye mchezo wa soka kwa kuanzisha ligi ya wilaya, ambayo imezinduliwa leo na Naibu Katibu Mkuu, Nassor Mazrui, kwa mechi kati ya timu za […]
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Nassor Ahmed Mazrui, kimeikanusha vikali barua iliyotolewa na jeshi la polisi mkoa wa kusini Pemba, likidai kupokea barua ya CUF kuridhia kufanyika kwa kongamano kwenye ukumbi wa Makonyo, Chake Chake kisiwani Pemba hapo kesho (Jumamosi, 24 Februari 2018).
Hatutambui hicho kinachoitwa matokeo ya uchaguzi wa marudio wa tarehe 20 Machi, 2016 na kwa maana hiyo hatumtambui huyo aliyedaiwa kuwa mshindi na kwa msingi huo huo hatutoitambua wala kushirikiana na Serikali itakayoundwa kutokana na matokeo hayo batili ya uchaguzi batili. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kufuatia ubakaji wa demokrasia […]