“Mwalimu Nyerere alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kuridhisha watu kwa nguvu ya hoja zake (power of persuasion). Uwezo huo ndio uliomsaidia kupata mafanikio makubwa katika malengo yake ya kisiasa. Uwezo huo unajidhihirisha katika matukio yafuatayo: Kwanza, ni pale alipofanikiwa kuwaridhisha kwa nguvu ya hoja zake, wanachama wa Asasi ya […]
