Zanzibar yetu yaumwa, tuitibuni

Published on :

Siku hizi ni kawaida kuwasikia watu – hasa wasomi na wataalamu waliobobea kwenye fani zao hapa Zanzibar  – wakisema “kwa tatizo hili bora pawepo mtaala maalum unaofundishwa maskulini ili kuliondosha’. Swali linakuja: je, tutabadilisha mitaala mingapi na kwa haja gani li kukidhi matatizo ya kijamii yanayoibuka kila leo, ambapo mengi […]