Maalim Seif auanika usaliti wa Khalifa kwao

Published on :

Katika kile kinachoibua hisia za Maalim Seif Sharif Hamad kwa kusalitiwa na baadhi ya jamaa zake wa Pemba kwenye mgogoro wa chama chake unaoendelea sasa, Katibu Mkuu huyo wa Chama cha Wananchi (CUF) ametoa kauli kali zaidi kuwahi kutolewa naye hadharani dhidi ya kundi la wanasiasa hao waliomgeuka, hasa Khalifa […]

SMZ inawabagua CUF, Wapemba – Maalim Seif

Published on :

Akiorodhesha mifano kadhaa iliyotokea tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu uliopita, Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, ameituhumu Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) chini ya uongozi wa Dk. Ali Mohammed Shein kwa kuendesha nchi kwa misingi ya ubaguzi wa uzawa na uvyama. Hayo ameyasema leo […]

Maalim Seif aunga mkono waraka wa KKKT

Published on :

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema amefarijika sana kuona Kanisa la Kilutheri la Tanzania (KKKT) limetoa waraka wa kuzungumzia hali halisi ya nchi katika wakati ambapo vitendo vinavyokinzana na misingi ya taifa vikishamiri, akieleza kwamba si sahihi kuwakataza viongozi wa kidini kutoa maoni yao […]

Uhai wa CUF unategemea uadilifu wa mahakama

Published on :

Kuna wanaohoji kwamba mgogoro uliopandikizwa kwenye Chama cha Wananchi (CUF) unaweza tu kumalizika kwa katibu mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad, kukaa kitako na aliyekuwa mwenyekiti wake, Profesa Ibrahim Haruna Lipumba, kuyazungumzia wanayotafautiana. Mtazamo wa mazungumzo ndio unaonekana, kijuujuu, kutajwa pia na Profesa Lipumba mwenyewe, ambaye katika siku […]