ACT-Wazalendo yakemea rushwa kwenye uchaguzi

Published on :

Chake-Chake, PEMBA: Chama cha ACT-Wazalendo kimeapa kuwachukulia hatua za kinidhamu wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama hicho watakaobainika wakijihusisha na vitendo vya rushwa. Kauli hiyo imetolewa leo (Juni 30) na Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad, wakati akizungumza na wanachama wa mkoa wa Chake […]

Mzee Moyo azungumzia Maalim Seif kujiunga ACT-Wazalendo

Published on :

“Nashukuru siku ile Maalim Seif anatangaza kuhamia chama chengine, mimi nilikuwa naangalia TV. Hivyo nikapata kumsikiliza kila alichokizungumza. Baada ya pale, kuna muandishi mmoja akanipigia simu kutaka nielezee na mimi mawazo yangu pengine kuwa nimeafikiana na uamuzi aliochukuwa Maalim Seif. Mimi siku zote napenda na huwa nasisitiza sana watu waachiwe […]