Lipumba ni nuhusi kwa CUF – Maalim Seif

Published on :

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, Prof. Ibrahim Lipumba, hana hadhi ya kujiita mpinzani wa kweli dhidi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), bali ni msaliti anayeitumikia CCM kuichafua CUF kwa sababu ya kutimiza maslahi ya wanaomtuma. Hayo ameyasema kwenye […]

Lipumba amlaumu Maalim Seif kwa sheria mbaya ya uchaguzi Z’bar

Published on :

Mwenyekiti wa zamani wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amemlaumu Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad, kwa kupitishwa sheria ‘mbaya’ za uchaguzi kwenye Baraza la Wawakilishi la Zanzibar lenye wana-CCM watupu kwa madai kuwa kunatokana na katibu mkuu huyo kuzuwia kesi za wawakilishi wa CUF […]

Nassor Mazrui

CUF yatoa kauli rasmi ziara ya Lipumba kisiwani Pemba

Published on :

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Nassor Ahmed Mazrui, kimeikanusha vikali barua iliyotolewa na jeshi la polisi mkoa wa kusini Pemba, likidai kupokea barua ya CUF kuridhia kufanyika kwa kongamano kwenye ukumbi wa Makonyo, Chake Chake kisiwani Pemba hapo kesho (Jumamosi, 24 Februari 2018).