Khalifa Hatfar: Kibaraka wa Marekani au mwokozi wa Libya?

Published on :

Haftar anaishtumu serikali ya Tripoli kuwa imejaa magaidi na amekuwa akidai kwamba lengo lake ni kuwapiga vita magaidi wote wenye kufuata mielekeo mikali ya Kiislamu kama vile wafuasi wa Dola ya Kiislamu (Islamic State) au Al Qa‘eda.  Amekuwa akishtumu kwamba wote wenye kuingiza dini katika siasa ni magaidi wakiwa pamoja n ahata wafuasi wa vuguvugu la Udugu wa Kiislamu (Jami’yat al Ikhwan al Muslimin).

Saif al-Islam aachiwa huru

Published on :

Kundi moja lenye silaha nchini Libya linasema limemuachia huru Saif al-Islam, mtoto wa kiume wa Marehemu Muammar Gaddafi, ambaye alikuwa kizuizini tangu Novemba 2011, kwa mujibu wa gazeti la The Guardian la Uingereza.  Kundi hilo, Abu Bakr al-Sadiq Brigade linaloundwa na waasi wa zamani na linaudhibiti mji wa Zintan ulio […]