Mbunge Ally Saleh achapisha diwani nyengine ya ushairi

Published on :

Mwandishi wa habari aliyesomea sheria na kugeuka kuwa mwanafasihi na kisha mwanasiasa, Ally Saleh (Alberto), amechapisha diwani yake nyengine ya ushairi, inayoitwa ‘TUPO: Diwani ya Tungo Twiti’, ambayo ni mkusanyiko wa tungo zilizowahi kutumwa kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter. Licha ya kuandikwa kwake kwa lugha ya kifasihi, tungo hizi […]

‘Kilio cha Usumbufu’: Diwani mpya yaingia sokoni rasmi

Published on :

Kampuni ya uchapishaji ya mtandaoni, Zanzibar Daima Publishing House, imechapisha diwani mpya ya ushairi wa Kiswahili iitwayo ‘Kilio cha Usumbufu’ iliyoandikwa na mtaalamu wa lugha na fasihi na mwalimu wa siku nyingi, Maalim Ali Abdulla Ali. Diwani hiyo, ambayo inaanza kuuzwa leo katika mtandao wa Amazon na washirika wake kote […]

Kutana na Ally Hilal 3 ndani ya 1

Published on :

Ingawa kanuni ya maisha inatuelekeza kuwa kila mwanaadamu amezaliwa akiwa na kipaji cha aina fulani, lakini si kila mmoja anayekigunduwa na kukitumia kwa maslahi yake na wengine. Matokeo yake ni kwamba wengi wetu huzaliwa, kukuwa na kufa na vipaji vyetu tukaenda navyo kaburini, bila hata kufahamika kwamba tulikuwa navyo. Havikutufaa […]

Riwaya: Safari ya Kumuua Rais – 1

Published on :

“Hali ya hewa unaiyonaje? , Talib alimuuliza Abdull, huku akimtazama usoni mkononi ameshika chupa ya maji akishushia kooni kukata ukali wa kiu. “Huku kunaonekana ni joto kidogo”, alijibu , macho yake yakipishana na mandhari ya majani ya kijani yanayovutia , kupitia dirisha la kioo cha basi la abiria walillokuwa wanasafiri. […]

Unajuwa maana ngapi za ‘shibe’ na ‘njaa’? 

Published on :

Nathalie Arnold ametumia muda mwingi kufanya utafiti kisiwani Pemba kuhusiana na lugha na mahusiano ya kijamii na moja ya ugunduzi wake ni namna Wapemba wanavyofasili shibe, njaa na vyakula kwenye historia na maisha yao. Ambatana naye kwenye vidio hii.  https://m.youtube.com/watch?v=QQnAhe0CXz8