Katika wiki iliyopita, vyombo vya habari nchini Tanzania vilijawa na habari na tahariri kuhusu marais wawili wastaafu wakiwa kwenye jukwaa la viongozi wastaafu wa Afrika nchini Afrika Kusini. Katika mkutano huo, ambao marais Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete walialikwa kujumuika na wastaafu wenzao barani Afrika kuzungumzia mambo yanayoliathiri bara la […]
