Kwa kweli siasa za Zanzibar ni ‘pasua kichwa’ 

Published on :

Leo ukienda visiwa vya Zanzibar utashuhudia maghorofa kuanzia Unguja mpaka Pemba, mijini mpaka mashakani, maghorofa hayo yote naambiwa yalijengwa na Hayati Mzee Abeid Karume! Mzee Karume alijenga maghorofa haya kati ya 12 Januari 1964 baada ya Mapinduzi na 7 Aprili 1972 pale alipokutwa na umauti baada ya kupigwa risasi akiwa […]

Nyerere alivyomtetea Karume Accra

Published on :

KATIKA mwezi wa Machi hali ya hewa jijini Accra, Ghana, huwa inaudhi bila ya kiasi kwa joto linavyokuwa kali. Jioni ndipo huzidi kushtadi. Nadra mvua kunyesha. Siku moja Machi 1958, saa za Magharibi, wakombozi wawili wa Kiafrika walikaa, glasi mkononi, wakipunga upepo kwenye baraza ya hoteli ya Avenada, iliyokuwa ikimilikiwa […]

Maisha na nyakati za Abdulla Kassim Hanga

Published on :

ASALAAM alaykum wa RahmatuLlah wa Barakatuhu. Nina mawili matatu ninayotaka kusema kabla ya kuiingilia mada yetu. Kwanza, nawashukuruni kujumuika nasi kumkumbuka mwana wa Zanzibar, ambaye licha ya udhaifu wake na pengine makosa ya hapa na pale, ni mmoja wa vigogo wa siasa za Zanzibar. Na ninamshukuru zaidi ndugu yetu Sheikh Muhammad […]

CCM Zanzibar yapigana vita vya utengano dhidi ya maridhiano

Published on :

Historia ya Zanzibar itamkumbuka Amani Abeid Karume kama mmoja wa viongozi waliopigania maridhiano, umoja na demokrasia visiwani humo. Katika kitabu chake Conversation with Myself (Mazungumzo na Nafsi Yangu), aliyekuwa rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini, Marehemu Mzee Nelson Mandela, anaandika: “Is not our diversity which divides us, it is […]