Jussa anakuwa mwanachama wa tatu wa ACT Wazalendo kuomba ridhaa ya kuwania nafasi hiyo, akitanguliwa na kiongozi anayetetea nafasi yake, Zitto Kabwe, na Joseph Mona, ambaye hivi sasa ni Katibu wa mkoa wa Katavi.

Jana, Leo na Kesho

Mkurugenzi wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa CUF, Ismail Jussa, amesema kuwa katibu mkuu wa chama chake, Maalim Seif Sharif Hamad, bado hajashindwa hadi sasa kuirejesha haki yao iliyoporwa ya ushindi wa uchaguzi wa tarehe 25 Oktoba 2015 na kwamba anaendelea na juhudi za kidiplomasia kuirejesha, hadi […]
Tokea Chama cha Mapinduzi (CCM) kupata kipigo cha kihistoria katika Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar wa tarehe 25 Oktoba, 2015 ambapo kilizidiwa na Chama cha Wananchi (CUF) kwa kura 25,831 kimekuwa kikiweweseka kwa madai ya kwamba kimeibiwa kura kisiwani Pemba na hivyo kutoa mashindikizo kwamba matokeo ya uchaguzi huo yafutwe.