Ya uchaguzi Zanzibar nayo dhambi

Published on :

MOJA ya kauli nzito ambazo Rais Dk. John Magufuli amekuwa akizitoa wakati huu anapoendelea kuzunguka nchi kwa ziara rasmi ya kiserikali anayoiita ni ya kushukuru wananchi kwa kumchagua kuongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni kushughulikia au kufuta dhambi. Rais Magufuli anasema anafuatilia dhambi dhidi ya Taifa na Watanzania. Ni […]

Kambi ya Upinzani Bungeni yatangaza kutomtambua Dk. Shein

Published on :

Kambi Rasmi ya Upinzani inasema kuwa Dk. Ali Muhammed Shein hana uhalali wa kushika nafasi hiyo kwa sababu matokeo ya Uchaguzi wa Marejeo yana kila dalili kuwa yalikuwa ni ya kupanga kitakwimu. Kwa mfano katika Jimbo la Malindi, Dk Shein alipata kura 2,334 katika Uchaguzi wa Oktoba, lakini katika Uchaguzi […]

Miujiza ya busu la Jecha ilivyomgeuza chura kuwa Mwana Mfalme

Published on :

Miongoni mwa ufahamu wa watu wa kawaida hapa Ulaya kuhusu nchi yangu, ni kuwa Zanzibar ni sehemu ya hadithini tu yenye mambo ya kushangaza na kufurahisha. Hata kuna hadithi kama ile riwaya ya kisayansi iitwayo Stand on Zanzibar iliyoandikwa na John Brunner mwaka 1968 na ikaja kujishindia tunzo kadhaa za […]