Mjuwe Eddy Riyami

Published on :

MOHAMED Ahmed Sultan pengine linaweza kuwa jina geni kwa wengi na itakuwa vigumu kufahamika kwa haraka bila kutumia jina lililozoelekea na wengi hapa visiwani Zanzibar. Namzunguzia ‘Eddy Riyami, naam, hapa utaeleweka kwa haraka zaidi ni nani unayemzungumzia. Eddy Riyami halikuwa jina kubwa katika siasa za Zanzibar licha ya kuwa alikuwa […]

Kutana na Eddy Riyami, bingwa wa ‘facts and figures’

Published on :

Unahitaji kukutana na Eddy Riyami mara moja, siku moja na takriban mkazungumza kwa kiasi cha dakika tano na atabaki kichwani kwako. Hakuna sehemu utayaoingia katika historia na siasa za Zanzibar ikawa yeye ni mwanafunzi. Allah amemjalia kuitumika nchi yake Zanzibar vilivyo katika uzalendo wa hali ya juu kabisa toka akiwa […]