Maalim Seif na Jahazi la Nuh

Published on :

Kinachoendelea hivi sasa katika siasa za Tanzania, kwa ujumla, hasa kwa upande wa Zanzibar katika Chama Cha Wananchi (CUF) kimenifanya nikumbuke tarekhe za visa vya Mitume na kwa muktadha wa makala hii fupi nitaangalia kazi kubwa ya kiutume iliyofanywa na Nabii Nuh (AS), upinzani aliokumbana nao na mwisho kulitazama Jahazi […]

Maalim Seif asema Mama Samia alikuwa mwanachama wa CUF

Published on :

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amefichua siri kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, aliwahi kuwa mwanachama wa CUF, akidai kwamba anaijuwa hadi nambari ya kadi ya uwanachama ya mwanasiasa huyo mwanamke wa kwanza kushika nafasi ya […]

Maalim Seif auanika usaliti wa Khalifa kwao

Published on :

Katika kile kinachoibua hisia za Maalim Seif Sharif Hamad kwa kusalitiwa na baadhi ya jamaa zake wa Pemba kwenye mgogoro wa chama chake unaoendelea sasa, Katibu Mkuu huyo wa Chama cha Wananchi (CUF) ametoa kauli kali zaidi kuwahi kutolewa naye hadharani dhidi ya kundi la wanasiasa hao waliomgeuka, hasa Khalifa […]