La Prof. Kabudi, Zanzibar na Mtego wa Komba – IV

Published on :

Kwenye sehemu ya tatu ya uchambuzi huu wa aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud, mwandishi alimalizia kuchambua baadhi ya ibara za Katiba Inayopendekezwa vinavyoiangamiza kabisa Zanzibar, licha ya kupitishwa kwa mbwebwe kubwa na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kutokea CCM upande wa Zanzibar, ambao wengine leo hii wanamkejeli […]

CCM Zanzibar hawana uhalali wa kumshambulia Kabudi

Published on :

Nikiwa Mzanzibari, Mwanasiasa Mstaafu nimeshangazwa mno na lawama anazotupiwa Prof. Kabudi kutoka kwa Viongozi Waandamizi wa CCM Zanzibar, wakiwemo Wawakilishi na hata Mawaziri kufuatia kauli aliyoitoa Bungeni hivi karibuni kutetea MFUMO wa KATIBA zetu mbili. Sitaki kujadili USAHIHI wa kauli yake, na pia niseme kuwa sikushangazwa na Wazanzibari wasio CCM […]

Ningekuwa kada… 

Published on :

Kwanza ningetetea yote yatendwayo na utawala wa nchi yangu, tena kwa mitusi yote, vitisho na kejeli, kwa kujikweza wakati tumboni hamuna hali. Ningegombana na kuhasimiana na yeyote ili nionekane nami pengine wanifikirie pakuniwekani. Ningekuwa kada, ningeuvua utu, nikayajua matusi yote ya dunia, nimtukane kila kiongozi wa upinzani na chipukizi wao. […]