Nguvu ya Lissu ni kubwa kuliko ya risasi

Published on :

Sisi wengine tangu siku ya mwanzo akina Nape Nnauye walipokuwa wakitetea uamuzi wa serikali ya awamu ya tano kuzuia matangazo ya moja kwa moja ya bunge kupitia televisheni ya taifa kwa madai ya kubana matumizi, tulijuwa wameshachelewa. Si katika zama hizi za mawasiliano ya mitandao ya kijamii, ambapo nguvu hasa […]

Viti maalumu ni kwa ajili ya kuwainua au kuwadidimiza wanawake?

Published on :

UCHAGUZI  mkuu uliomalizika nchini Kenya umetuachia mengi ya kuyaangalia na kujifunza. Nitajaribu kufananisha machache ambayo yanatuachia mengi ya kujiuliza kwa nini sisi Tanzania yatushinde?   Mara baada ya Rais Kenyatta kutangazwa kuwa ndiye mshindi wa kiti cha urais alisema bila masimango ya aina yoyote kwamba iliyoshinda ni Kenya wala siyo […]