Disemba 10 na uhuru wa Zanzibar uliopuuzwa

Published on :

Mwandishi Harith Ghassani anakiita kitabu chake Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru, yumkini akimaanisha kile kilichotokea tarehe 10 Disemba 1963 kilikuwa kiini macho cha aina yake ambapo Zanzibar ilijipatia uhuru wake kutoka kwa Muingereza na baadaye kujikuta baada ya mwezi mmoja ikiingia katika Mpainduzi ambayo baadaye nayo, ndani ya siku 100 tu, […]