Jinsi tawala za kifamilia zinavyouwa demokrasia Afrika

Published on :

Zipo sababu nyingi zilizomfanya Robert Mugabe ashinikizwe na jeshi na kisha chama chake kujiuzulu. Lakini sababu kubwa na ambayo chama chake ZANU-PF na hata Bunge, kiliiweka mbele ni suala la kuimiliki Zimbabwe kama mojawapo ya mali zake za kifamilia. Bunge lilisema lingemwondoa Rais Mugabe kwasababu mkewe Grace Mugabe amenyang’anya (usurp) […]

Kwani upinzani wa kisiasa ni adui wa maendeleo?

Published on :

ZIMEKUWEPO  hisia miongoni mwa nchi za Kiafrika kuwa upinzani wa kisiasa ni kama njia ya kuzorotesha maendeleo! Hisia hizo zinatolewa na serikali zinazokuwa zimeingia madarakani kwa njia ya kudai demokrasia na baada ya kuukalia usukani zikatamani kuiziba njia hiyo ili isije kutumiwa na wengine, pamoja na serikali zilizodumu madarakani muda wote […]

Uzalendo unaoibuka kwa kufutiwa misaada ni unafiki

Published on :

Laiti kama haya ya kufutwa kwa awamu ya pili ya msaada wa kimaendeleo wa shirika la misaada la Marekani (MCC) kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yangelitokea kwa Afrika Kusini wakati wa kufinywa kwa demokrasia na ubaguzi, basi tungelipiga makofi. Kama ilivyo kwa Tanzania, hata makaburu walichokuwa nacho wakati ule ni […]