We Harvest the Present from the Future We Planted Yesterday: A Conversation with Abdilatif Abdalla and Ngugi wa Thiong’o

Published on :

Abdilatif Abdalla  (born 1946) is a Kenyan writer and a political activist. He was the first political prisoner in independent Kenya. At the age 22 he was imprisoned by the Kenyatta regime after he questioned the direction the country was taking, in his pamphlet,  Kenya: Twendapi? – Kenya: Where Are […]

Abdilatif Abdalla amuadhimisha Karimi Nduthu

Published on :

  Ni fahari kubwa kwangu kushirikishwa katika  maadhimisho haya ya kumkumbuka Karimi Nduthu, mmojawapo miongoni mwa mashujaa wetu wa Kenya waliojitolea maisha yao ili kuendeleza harakati za mapambano ya kuleta mabadiliko ya kweli kwa sehemu kubwa ya Wakenya – hasa wale walioko katika matabaka ya chini.  Shujaa ambaye bado naendelea […]

Ni aibu kwa SMZ kutomtambua mshindi wa fasihi Ali Hilal

Published on :

Yapata miaka miwili sasa tokea nipate kumjuwa Ndugu Ali Hilali Ali, nilishawishika kuomba urafiki kupitia mtandao wa ‘facebook’ kutokana na michango na elimu yake anayotoa kwa jamii kupitia ukuta wake huo, kutokana na uungwana wake mkubwa hakusita kukubali ombi langu na toka hapo tumekuwa tukiwasiliana mara kwa mara kupitia kuta […]

Baina ya mkandarasi na kandarasi

Published on :

Mmojawapo miongoni mwa washairi maarufu wa Tanzania, Khamis Amani Nyamaume (1926-1971), katika shairi lake labeti nne, liitwalo ‘Saa’, alitunga akasema: Saa za huku na huko, zimekosana majira Sababu ni mzunguko, haufuati duara Sasa rai iliyoko, ni kubadilisha dira Saa zatupa majira, mafundi zitengezeni…