Riwaya:Safari ya Kumuua Rais-7

Published on :

Ilipoishia wiki iliyopita tuliona Abdull akimuaga Fartuun anaondoka na hatorudi tena Somalia, halikuwa jambo rahisi  kwa Fartuun kukubali. Fartuun akamuomba Abdull wakutane kwa mara ya mwisho…Endelea… Ilipofika jioni Fartuun alijikongoja kuelekea alipoelezwa na Abdull kwamba wangekutana, naye Abdull hakutaka kuchelewa kufika katika fukwe na Lido  kumuona kwa mara ya mwisho. […]

Riwaya: Safari ya Kumuua Rais-6

Published on :

Tulipoishia tuliona Abdull alivyoalikwa kwao Fartuun kisha binti huyo akaitambulisha familia yake kwamba huyo ndiye mchumba wake, baada ya siku kadhaa Talib anamshawishi Abdull waondoke wakalipize kisasi…Endelea…. “Sio ngumu,ni kushirikiana tu kila kitu kinawezekani..nitapanga mpango kamili ili tuingie katika utekelezaji..”, Talib alikuwa anasisitiza mpango wake kwa Abdull Abdull alibaki na […]

Mbunge Ally Saleh achapisha diwani nyengine ya ushairi

Published on :

Mwandishi wa habari aliyesomea sheria na kugeuka kuwa mwanafasihi na kisha mwanasiasa, Ally Saleh (Alberto), amechapisha diwani yake nyengine ya ushairi, inayoitwa ‘TUPO: Diwani ya Tungo Twiti’, ambayo ni mkusanyiko wa tungo zilizowahi kutumwa kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter. Licha ya kuandikwa kwake kwa lugha ya kifasihi, tungo hizi […]

Huku mkwamo wa kisiasa ukiendelea Z’bar, CUF yageukia soka

Published on :

Wakati bado Chama cha Wananchi (CUF) kikiendelea kuamini kuwa mgogoro wa kisiasa uliotokana na uchaguzi wa Oktoba 2015 haujesha, sasa chama hicho kikongwe visiwani Zanzibar kimegeukia kwenye mchezo wa soka kwa kuanzisha ligi ya wilaya, ambayo imezinduliwa leo na Naibu Katibu Mkuu, Nassor Mazrui, kwa mechi kati ya timu za […]