ZEC yatangaza vituo vya uandikishaji
ZEC imewataka wale wanaokwenda kujiandikisha kuhakikisha kuwa wana vitambulisho vyao vya Mzanzibari Mkaazi na wale wanaohakiki taarifa zao wawe na vitambulisho vya kura na vya Mzanzibari Mkaazi kwa pamoja.
Jana, Leo na Kesho