Mshauri Mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, amerejesha rasmi fomu yake ya kuwania uwenyekiti wa chama hicho kwenye uchaguzi mkuu unaotazamiwa kufanyika mwezi huu wa Februari 2020.

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.