Mbona rais wa zamani Marekani aliwaita wajumbe wa Tanzania ‘tumbili’

Published on :

Rais wa zamani wa Marekani Ronald Reagan aliwaita tumbili wajumbe wa Afrika katika Umoja wa Mataifa UN mwaka 1971 wakati alipokuwa gavana wa Jimbo la California katika ukanda wa sauti uliochapishwa na The Atlantic.