Rais wa Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS), Wakili Omar Said Shaaban, anazungumzia haki za raia awamo mikononi mwa polisi, akifafanuwa kwa undani kipi na kipi ni stahiki ya raia, upi ni wajibu wake na zipi njia za kufuata.

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.