Kutana na Tunu Fadhili anayesimulia jinsi baba yake mzazi alivyokuwa akimtaka yeye na wenziwe kimapenzi…na akafanikiwa kwa baadhi yao kabla yeye hajamuanika hadharani – ushahidi kwamba uhalilishaji wa kijinsia majumbani mwetu ni miongoni mwa changamoto kubwa duniani hivi sasa, na ni bahati mbaya sana kuwa jamii zetu nazo hazikuwachwa nyuma.

 

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.