Kesi inayowahusisha vigogo wa kampuni ya IPTL yaendelea huku mashitaka yao yakiongezwa, sambamba na ile ya viongozi wa Shirikisho la Soka la Tanzania Bara (TFF) na miswaada ya Sheria za Madini yapitishwa wakati Bunge likigawika kwa mara nyengine tena. 

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.