Mengi yana uchambuzi na maoni ya wataalamu na wanaharakati juu ya marufuku ya Rais John Magufuli dhidi ya wanafunzi wa kike wanaopata ujauzito shuleni na vile vile kuhusu sakata la kashfa ya Escrow lililorudi upya. Kwenye safu za michezo, ni ujio wa Everton na usajili wa Simba na Yanga. 

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.