Waziri mwenye dhamana ya habari kwenye serikali ya Rais John Magufuli, Harrison Mwakyembe, ametetea hatua yake ya kulifungia gazeti la Mawiyo, huku mmoja wa wamiliki wa gazeti hilo, Said Kubenea, akisema kuwa hatua ya Mwakyembe inatokana na chuki binafsi.

TANBIHI: Sauti zao zimechukuliwa katika mahojiano tafauti na Idhaa ya Kiswahili ya Ujerumani, Deutsche Welle.

https://soundcloud.com/mohammed-k-ghassani/kubenea-vs-mwakyembe-jino-kwa-jino

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.