Stori kubwa ni wito wa kutaka viongozi wawili wakuu waliopita, Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete, washitakiwe kwa dhima yao katika kashfa ya mikataba ya madini, huku kwenye safu za michezo Baraza la Michezo la Tanzania Bara (BMT) likiuzuwia uchaguzi wa Shirikisho la Soka la Bara (TFF). 

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.