Magazeti mengi yanazungumzia hatua ya kufutwa kazi kwa mkurugenzi wa Mamlaka ya Nishati na Maji ya Tanzania Bara (EWURA) usiku wa manane na kwenye michezo ni ushindi wa Gor Mahia ya Kenya kwenye mashindano ya SportPesa. 

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.