Makisio kuhusu itakavyokuwa bajeti kuu ya Tanzania itakayosomwa leo na waziri wa fedha bungeni, kuondolewa kwa Anna Mghwira kwenye uwenyekiti wa ACT Wazalendo, kuendelea kuzorota kwa hali ya usalama huko Kibiti ni miongoni mwa yaliyotawala safu za mbele za magazeti ya leo, huku kwenye kurasa za michezo, wengi wakizungumzia mechi ya leo kati ya Young Africans na Leopards. 

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.