Leo magazeti mengi yanazungumzia hotuba ya jana ya Rais John Magufuli akizinduwa mfumo wa kulipia kodi kwa njia ya elektroniki, akitaka kampuni zote za madini na mawasiliano zijisajili haraka ama zifunge biashara. Michezoni ni ziara ya Everton nchini Tanzania, sambamba na usajili unaoendelea kwa timu za daraja la kwanza. 

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.