Ujasiriamali una siri nyingi sana. Mojawapo ni kuuamini na kujiamini kuwa ulipo ndipo, unachokitenda ni sahihi, na misukosuko iliyomo ndani yake ni sehemu ya mafanikio makubwa ya baadaye. Ndicho alichokigundua Happy Seiph Rwechungura, mwanamke mjasiriamali anayejishughulisha na ufugaji kuku wa kienyeji na kambare katika mji wa pwani mwa Tanzania, Bagamoyo. Angalia vidio yake kujielimisha zaidi.

 

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.