Wakati Chama cha Wananchi (CUF) kikiendelea kupita kwenye moja ya vipindi vyake vigumu kabisa kwenye historia yake ya nusu karne, Said Miraj Abdullah, ambaye aliwahi kushikilia nafasi nyingi za juu kwenye chama hicho kabla ya kujiondoa na baadaye kuanzisha chama chake mwenyewe cha ADC anaonekana kuumizwa na majaaliwa ya chama chake kikongwe, na hapa ana ushauri kwa chama hicho ambacho kimetumbukizwa kwenye mgogoro mkubwa wa kiuongozi. Angalia vidio kamili.

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.