Ishangia Ramadhani
Ishangia Ramadhani, nianze fanya hashuo Nijiweke kiblani, hijifanya mwanachuo Ilhali ni shetani, nawavua watu nguo Ikingia Ramadhani, mimi hujifanya mwema Nikalisha majirani, wanyonge na mayatima Japokuwa maluuni, hukaa hashika tama … Continue Reading Ishangia Ramadhani