Mada kuu takribani kwenye magazeti yote ni ile ya kung’olewa kwa mkuu wa polisi, IGP Ernest Mangu, na nafasi yake kuchukuliwa na kamanda wa polisi wa kanda maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro. Kwenye safu za michezo, mbali ya shamrashamra za ushindi wa Simba Sports Club dhidi ya Mbao FC, ni ajali mbaya ya mchezaji wa timu hiyo, James Mkude, ambayo imeangamiza maisha ya mmoja wa mashabiki wake wakubwa. 

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.