Kauli ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba, juu ya mauaji ya Kibiti yachambuliwa, bajeti ya kilimo bungeni, na huku kurasa za michezo zikijikita kwenye hali ya soka baada ya vijana wa U17 kutolewa mashindanoni lakini wakiwa na moyo na moto mpya. 

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.